naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 7

c) Taja michezo mitatu ambayo wageni na wanafunzi walicheza wakati wa mapumziko?

From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 3 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi fupi ifuatayo kisha ujibu maswali.

Shule ya msingi Dhabiti ilitembelewa na maafisa wa elimu. Walitaka kujua siri ya masomo bora katika shule hiyo, wageni waliingia madarasani. Wanafunzi walisomea wageni hadithi, wakakariri mashairi na kuimba nyimbo za uzalendo bila uwoga. Wakati wa mapumziko, wanafunzi walicheza na wageni uwanjani. Walicheza michezo kama kibe, kalongo na tenesi. Wageni walifurahia sana.

c) Taja michezo mitatu ambayo wageni na wanafunzi walicheza wakati wa mapumziko?

Answer

kibe, kalongo na tenesi

Walicheza kibe, kalongo na tenesi.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test