CBC Grade 3 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 3
c) Watu hutumia nini kulipia vitu walivyonunua dukani?
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza
Nitakuuliza maswali nawe utayajibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.
c) Watu hutumia nini kulipia vitu walivyonunua dukani?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Pesa.
Tunalipa kwa pesa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- KUSOMA KWA SAUTI. Soma hadithi hii kwa sauti.Question 4
- UFAHAMU. a) Andika jina la shule iliyotajwa kwenye hadithi.Question 5
- b) Ni nani walitembelea shule iliyotajwa?Question 6
- c) Taja michezo mitatu ambayo wageni na wanafunzi walicheza wakati wa mapumziko?Question 7
- a) Mkulima ni nani? ___Question 8
- b) Mkulima anaweza kupata mbolea kutoka wapi? i) ___ ii) ___Question 9