naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 4

KUSOMA KWA SAUTI. Soma hadithi hii kwa sauti.

From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Juma anapenda kucheza mpira wa kandanda na wenzake. Siku moja alirudi nyumbani akiwa ana njaa sana. Aliingia jikoni na kupata nyama iliyokuwa imepikwa. Nyama hiyo ilinukia sana. Alikula nyama yote iliyokuwa katika chungu. Mama aliporudi aliuliza ni nani aliyekula nyama. Juma alidanganya na kusema si yeye. Alikimbia chumbani kwake. Alitegwa na mguu wa kitanda. Alilia kwa uchungu. Mama alisikia kilio na kwenda chumbani mwa Juma. Juma aliomba msamaha. Tangu siku hiyo, hajawahi kudanganya tena.

2. KUSOMA KWA SAUTI.
Soma hadithi hii kwa sauti.

Answer

Juma anapenda kucheza mpira wa kandanda na wenzake. Siku moja alirudi nyumbani akiwa ana njaa sana. Aliingia jikoni na kupata nyama iliyokuwa imepikwa. Nyama hiyo ilinukia sana. Alikula nyama yote iliyokuwa katika chungu. Mama aliporudi aliuliza ni nani aliyekula nyama. Juma alidanganya na kusema si yeye. Alikimbia chumbani kwake. Alitegwa na mguu wa kitanda. Alilia kwa uchungu. Mama alisikia kilio na kwenda chumbani mwa Juma. Juma aliomba msamaha. Tangu siku hiyo, hajawahi kudanganya tena.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test