CBC Grade 3 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 23
KUANDIKA. Andika sentensi tano kuhusu "KAZI NIIPENDAYO".
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 5 marks · Topic: Kuandika, Kuandika Sentensi
11. KUANDIKA.
Andika sentensi tano kuhusu "KAZI NIIPENDAYO".
Answer
Kazi niipendayo ni ualimu. Mwalimu hufundisha watoto shuleni. Ninapenda kusoma vitabu. Nitasoma kwa bidii. Nitakuwa mwalimu bora.
Andika sentensi tano kamili kuhusu kazi unayoipenda, k.m. ualimu, udaktari au ukulima.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA. a) Umewahi kwenda dukani?Question 1
- b) Taja vitu vitatu vinavyopatikana dukani.Question 2
- c) Watu hutumia nini kulipia vitu walivyonunua dukani?Question 3
- KUSOMA KWA SAUTI. Soma hadithi hii kwa sauti.Question 4
- UFAHAMU. a) Andika jina la shule iliyotajwa kwenye hadithi.Question 5
- b) Ni nani walitembelea shule iliyotajwa?Question 6