CBC Grade 3 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 22
Tumia alama ya kiulizi kutunga sentensi. mfano: Goti la nani limeumia? ___ ___
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Alama ya Kiulizi
10. Tumia alama ya kiulizi kutunga sentensi.
mfano: Goti la nani limeumia?
___________________
___________________
Answer
Unaitwa nani? Unaenda wapi?
Sentensi ya kuuliza huishia na alama ya kiulizi (?).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- KUANDIKA. Andika sentensi tano kuhusu "KAZI NIIPENDAYO".Question 23
- KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA. a) Umewahi kwenda dukani?Question 1
- b) Taja vitu vitatu vinavyopatikana dukani.Question 2
- c) Watu hutumia nini kulipia vitu walivyonunua dukani?Question 3
- KUSOMA KWA SAUTI. Soma hadithi hii kwa sauti.Question 4
- UFAHAMU. a) Andika jina la shule iliyotajwa kwenye hadithi.Question 5