CBC Grade 3 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 1
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA. a) Umewahi kwenda dukani?
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza
Nitakuuliza maswali nawe utayajibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.
1. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA.
a) Umewahi kwenda dukani?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ndiyo, nimewahi kwenda dukani.
Jibu kwa sentensi kamili: ndiyo au la.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- b) Taja vitu vitatu vinavyopatikana dukani.Question 2
- c) Watu hutumia nini kulipia vitu walivyonunua dukani?Question 3
- KUSOMA KWA SAUTI. Soma hadithi hii kwa sauti.Question 4
- UFAHAMU. a) Andika jina la shule iliyotajwa kwenye hadithi.Question 5
- b) Ni nani walitembelea shule iliyotajwa?Question 6
- c) Taja michezo mitatu ambayo wageni na wanafunzi walicheza wakati wa mapumziko?Question 7