CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025
Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 37 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 37 questions with answers
- Question 1: SEHEMU 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Ukikutana na mzee njiani utamsalimia aje?Answer: Shikamoo.
- Question 2: Ukiambiwa na rafiki yako "Kwa heri", utamjibu aje?Answer: Kwa heri ya kuonana.
- Question 3: Ukipata mlango umefungwa, kabla uingie inafaa kufanya nini?Answer: Kubisha hodi.
- Question 4: Je, ukimkosea mwenzako unafaa kumwambia nini?Answer: Samahani.
- Question 5: Ukipewa zawadi na mtu, unafaa kusema aje?Answer: Asante.
- Question 6: SEHEMU 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Mimi ninapenda nchi yangu. Nchi yangu inaitwa Kenya. Katika nchi yangu tuko na wimbo wa taifa. Wimbo wetu wa…
- Question 7: Ni wanafunzi wa darasa la ngapi walioenda bustanini?Answer: darasa la pili
- Question 8: Mwalimu wao anaitwa nani?Answer: Bwana Ken
- Question 9: Je, bustani ni wapi?Answer: mahali ambapo kumepandwa maua
- Question 10: Kwenye bustani kulikuwa na aina ngapi za maua?Answer: sita
- Question 11: Mwalimu aliwaagiza wanafunzi wasifanye nini?Answer: wasikate wala kung'oa maua
- Question 12: SEHEMU YA SARUFI A. Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze mapengo kwa kutumia maneno uliyopewa (na, ta, au, li). Jana ni ___ enda shuleni.…Answer: D. li
- Question 13: Pengo la 2: Ni ___ fika nikiwa nimechelewa.Answer: D. li
- Question 14: Pengo la 3: Nilikuta mwalimu akiwa a ___ funza.Answer: A. na
- Question 15: Pengo la 4: Mwalimu aliniambia a ___ niadhibu.Answer: B. ta
- Question 16: Pengo la 5: Hadi saa hii ni ___ muogopa.Answer: A. na
- Question 17: B. Tenganisha maneno haya ili kuunda sentensi. 1. Miminiwadarasalapili.Answer: Mimi ni wa darasa la pili.
- Question 18: Tutakulamatunda.Answer: Tutakula matunda.
- Question 19: C. Tumia '-ako' au '-enu' kujaza pengo. 3. Dawati ___ ni zuri.Answer: lako
- Question 20: Kiatu ___ kinapendeza.Answer: chako
- Question 21: Madirisha ___ yamefungwa.Answer: yako
- Question 22: D. Panga silabi hizi vizuri kuunda neno sahihi. 6. MbanyuAnswer: nyumba
- Question 23: SiofiAnswer: ofisi
- Question 24: FutiokiAnswer: kifutio
- Question 25: E. Andika wingi wa maneno haya. 9. EmbeAnswer: maembe
- Question 26: TundaAnswer: matunda
- Question 27: F. Andika tarakimu hizi kwa maneno. 11. 80Answer: themanini
- Question 28: 100Answer: mia moja
- Question 29: G. Andika kinyume cha maneno haya. 13. LiaAnswer: cheka
- Question 30: ShukaAnswer: panda
- Question 31: PendaAnswer: chukia
- Question 32: H. Jaza pengo kwa usahihi ukitumia maneno uliyopewa. 16. Mtu anayeendesha gari.Answer: B. dereva
- Question 33: Mtu anayetibu wagonjwa.Answer: A. daktari
- Question 34: Mtu anayepika.Answer: B. mpishi
- Question 35: I. Chora vyombo hivi. 19. KikombeAnswer: Kikombe kimechorwa.
- Question 36: KijikoAnswer: Kijiko kimechorwa.
- Question 37: Andika sentensi tano kuhusu: SHULE YETUAnswer: Shule yetu inaitwa Baraka. Ina madarasa mengi. Tuna basi la shule. Walimu wetu ni wazuri. Ninaipenda shule…