CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 32
H. Jaza pengo kwa usahihi ukitumia maneno uliyopewa. 16. Mtu anayeendesha gari.
From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kazi za Watu
H. Jaza pengo kwa usahihi ukitumia maneno uliyopewa.
16. Mtu anayeendesha gari.
- Ataniboi
- Bdereva
Answer
B. dereva
Dereva huendesha gari; taniboi husaidia kwenye matatu.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Mtu anayetibu wagonjwa.Question 33
- Mtu anayepika.Question 34
- I. Chora vyombo hivi. 19. KikombeQuestion 35
- Andika sentensi tano kuhusu: SHULE YETUQuestion 37
- SEHEMU 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Ukikutana na mzee njiani utamsalimia aje?Question 1
- Ukiambiwa na rafiki yako "Kwa heri", utamjibu aje?Question 2