CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 2
Ukiambiwa na rafiki yako "Kwa heri", utamjibu aje?
From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maneno ya Adabu
Msikilize mwalimu akiuliza maswali kisha uyajibu kwa kuongea. Cheza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa Kiswahili.
2. Ukiambiwa na rafiki yako "Kwa heri", utamjibu aje?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Kwa heri ya kuonana.
Jibu la "Kwa heri" ni "Kwa heri ya kuonana".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Ukipata mlango umefungwa, kabla uingie inafaa kufanya nini?Question 3
- Je, ukimkosea mwenzako unafaa kumwambia nini?Question 4
- Ukipewa zawadi na mtu, unafaa kusema aje?Question 5
- SEHEMU 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Question 6
- Ni wanafunzi wa darasa la ngapi walioenda bustanini?Question 7
- Mwalimu wao anaitwa nani?Question 8