CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 5
Ukipewa zawadi na mtu, unafaa kusema aje?
From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maneno ya Adabu
Msikilize mwalimu akiuliza maswali kisha uyajibu kwa kuongea. Cheza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa Kiswahili.
5. Ukipewa zawadi na mtu, unafaa kusema aje?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Asante.
Tukipewa zawadi tunasema "Asante".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Question 6
- Ni wanafunzi wa darasa la ngapi walioenda bustanini?Question 7
- Mwalimu wao anaitwa nani?Question 8
- Je, bustani ni wapi?Question 9
- Kwenye bustani kulikuwa na aina ngapi za maua?Question 10
- Mwalimu aliwaagiza wanafunzi wasifanye nini?Question 11