naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 8

Mwalimu wao anaitwa nani?

From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

SEHEMU 3: KUSOMA: UFAHAMU
Soma kisa kifuatacho kisha ujibu maswali.

Sisi ni wanafunzi wa darasa la pili. Mwalimu wetu anaitwa Bwana Ken. Siku moja aliamua kutupeleka kwenye bustani ya shule. Bustani ni mahali ambapo kumepandwa maua. Katika bustani kulikuwa na aina sita za maua. Maua hayo yalikuwa yanapendeza sana. Tulifurahia sana kwenda pale. Mwalimu alituagiza tusikate wala kung'oa maua. Mwalimu pia alituagiza tujichunge kwani katika yale maua kulikuwa na wadudu. Sisi tulifuata maagizo ya mwalimu.

2. Mwalimu wao anaitwa nani?

Answer

Bwana Ken

Kisa kinasema: Bwana Ken.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test