naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 12

SEHEMU YA SARUFI A. Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze mapengo kwa kutumia maneno uliyopewa (na, ta, au, li). Jana ni ___ enda shuleni. Ni ___ fika nikiwa…

From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati

SEHEMU YA SARUFI
A. Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze mapengo kwa kutumia maneno uliyopewa (na, ta, au, li).
Jana ni ___ enda shuleni. Ni ___ fika nikiwa nimechelewa. Nilikuta mwalimu akiwa a ___ funza. Mwalimu aliniambia a ___ niadhibu. Hadi saa hii ni ___ muogopa.
Pengo la 1: Jana ni ___ enda shuleni.

  1. Ana
  2. Bta
  3. Cau
  4. Dli

Answer

D. li

Jana ni wakati uliopita: nilienda.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test