CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 10
Kwenye bustani kulikuwa na aina ngapi za maua?
From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
SEHEMU 3: KUSOMA: UFAHAMU
Soma kisa kifuatacho kisha ujibu maswali.
Sisi ni wanafunzi wa darasa la pili. Mwalimu wetu anaitwa Bwana Ken. Siku moja aliamua kutupeleka kwenye bustani ya shule. Bustani ni mahali ambapo kumepandwa maua. Katika bustani kulikuwa na aina sita za maua. Maua hayo yalikuwa yanapendeza sana. Tulifurahia sana kwenda pale. Mwalimu alituagiza tusikate wala kung'oa maua. Mwalimu pia alituagiza tujichunge kwani katika yale maua kulikuwa na wadudu. Sisi tulifuata maagizo ya mwalimu.
4. Kwenye bustani kulikuwa na aina ngapi za maua?
Answer
sita
Kisa kinasema: sita.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Mwalimu aliwaagiza wanafunzi wasifanye nini?Question 11
- SEHEMU YA SARUFI A. Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze mapengo kwa kutumia maneno uliyopewa (na, ta, au, li). Jana ni…Question 12
- Pengo la 2: Ni ___ fika nikiwa nimechelewa.Question 13
- Pengo la 3: Nilikuta mwalimu akiwa a ___ funza.Question 14
- Pengo la 4: Mwalimu aliniambia a ___ niadhibu.Question 15
- Pengo la 5: Hadi saa hii ni ___ muogopa.Question 16