naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 6

SEHEMU 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.

From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Mimi ninapenda nchi yangu. Nchi yangu inaitwa Kenya. Katika nchi yangu tuko na wimbo wa taifa. Wimbo wetu wa taifa una beti tatu. Wimbo huu umeandikwa kwa lugha mbili ambazo ni Kiswahili na Kiingereza. Nchi yangu pia iko na bendera. Bendera yetu ina rangi nne. Rangi hizi nazo ni nyeusi, kijani, nyeupe na nyekundu. Nchi yetu pia ina rais. Rais wetu anaitwa Mheshimiwa William Samoei Ruto. Ninaipenda nchi yangu sana. Mimi ni mzalendo.

SEHEMU 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu hiki kwa sauti.

Answer

Mimi ninapenda nchi yangu. Nchi yangu inaitwa Kenya. Katika nchi yangu tuko na wimbo wa taifa. Wimbo wetu wa taifa una beti tatu. Wimbo huu umeandikwa kwa lugha mbili ambazo ni Kiswahili na Kiingereza. Nchi yangu pia iko na bendera. Bendera yetu ina rangi nne. Rangi hizi nazo ni nyeusi, kijani, nyeupe na nyekundu. Nchi yetu pia ina rais. Rais wetu anaitwa Mheshimiwa William Samoei Ruto. Ninaipenda nchi yangu sana. Mimi ni mzalendo.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test