CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 1
SEHEMU 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Ukikutana na mzee njiani utamsalimia aje?
From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maneno ya Adabu
Msikilize mwalimu akiuliza maswali kisha uyajibu kwa kuongea. Cheza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa Kiswahili.
SEHEMU 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
1. Ukikutana na mzee njiani utamsalimia aje?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Shikamoo.
Tunamsalimia mzee kwa "Shikamoo"; yeye hujibu "Marahaba".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Ukiambiwa na rafiki yako "Kwa heri", utamjibu aje?Question 2
- Ukipata mlango umefungwa, kabla uingie inafaa kufanya nini?Question 3
- Je, ukimkosea mwenzako unafaa kumwambia nini?Question 4
- Ukipewa zawadi na mtu, unafaa kusema aje?Question 5
- SEHEMU 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Question 6
- Ni wanafunzi wa darasa la ngapi walioenda bustanini?Question 7