CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 37
Andika sentensi tano kuhusu: SHULE YETU
From Kiswahili — Term 2 Opener 2025 (Set 7) · 5 marks · Topic: Kuandika, Kuandika Sentensi

Andika sentensi tano kuhusu: SHULE YETU
Answer
Shule yetu inaitwa Baraka. Ina madarasa mengi. Tuna basi la shule. Walimu wetu ni wazuri. Ninaipenda shule yetu.
Andika sentensi tano kuhusu shule yako. Unaweza kutumia jina la kubuni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Ukikutana na mzee njiani utamsalimia aje?Question 1
- Ukiambiwa na rafiki yako "Kwa heri", utamjibu aje?Question 2
- Ukipata mlango umefungwa, kabla uingie inafaa kufanya nini?Question 3
- Je, ukimkosea mwenzako unafaa kumwambia nini?Question 4
- Ukipewa zawadi na mtu, unafaa kusema aje?Question 5
- SEHEMU 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Question 6