CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 21
Tazama picha hii. Maua yako kando ya runinga. Paka yuko ___Meza.
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vihusishi

21. Tazama picha hii.
Maua yako kando ya runinga. Paka yuko ______________________Meza.
Answer
chini ya
Picha inaonyesha paka amelala chini ya meza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Nina mipira mitatu. Kila mpira umeandikwa aina mbalimbali za maneno. Chagua mpira ambao una vitenzi pekee.Question 22
- Andika wingi wa sentensi: Mgeni amefika kwangu leo.Question 23
- Tazama picha hii. Mpapai nilioupanda umekuwa ___ kama twiga.Question 24
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi. Tina amepika chakula. Chakula ___na Tina.Question 25
- Jaza nafasi. Fuata mfano ulio kwenye jedwali. Ninasoma kitabu sasa. → Sisomi kitabu sasa Alicheza mpira jana. → ___Question 26
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi. Sara anaandika insha ___rafiki yake anafuta ubao.Question 27