CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 20
Jedwali hili lina maneno katika hali mbalimbali. Chagua neno lililo katika hali ya ukubwa.
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
20. Jedwali hili lina maneno katika hali mbalimbali. Chagua neno lililo katika hali ya ukubwa.
- Amji
- Bjiji
- Ckijiji
Answer
B. jiji
Mji ni hali ya kawaida, kijiji ni hali ya udogo, na jiji ni hali ya ukubwa.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Tazama picha hii. Maua yako kando ya runinga. Paka yuko ___Meza.Question 21
- Nina mipira mitatu. Kila mpira umeandikwa aina mbalimbali za maneno. Chagua mpira ambao una vitenzi pekee.Question 22
- Andika wingi wa sentensi: Mgeni amefika kwangu leo.Question 23
- Tazama picha hii. Mpapai nilioupanda umekuwa ___ kama twiga.Question 24
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi. Tina amepika chakula. Chakula ___na Tina.Question 25
- Jaza nafasi. Fuata mfano ulio kwenye jedwali. Ninasoma kitabu sasa. → Sisomi kitabu sasa Alicheza mpira jana. → ___Question 26