CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 26
Jaza nafasi. Fuata mfano ulio kwenye jedwali. Ninasoma kitabu sasa. → Sisomi kitabu sasa Alicheza mpira jana. → ___
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
26. Jaza nafasi. Fuata mfano ulio kwenye jedwali.
Ninasoma kitabu sasa. → Sisomi kitabu sasa
Alicheza mpira jana. → ________
Answer
Hakucheza mpira jana.
Kukanusha wakati uliopita: alicheza → hakucheza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi. Sara anaandika insha ___rafiki yake anafuta ubao.Question 27
- Chagua neno moja kukamilisha sentensi ifuatayo. ___ vimenunuliwa.Question 28
- Umefika katika kituo cha basi. Kabla ya kuingia garini, kondakta amekukumbusha uvae barakoa, utamwambiaje?Question 29
- Umemtembelea rafiki yako ambaye ni mgonjwa. Je, utatamka neno gani kuonyesha unavyohisi?Question 30
- Wanafunzi wa Gredi ya nne walizuru mbuga gani ya wanyama?Question 1
- Mwelekezi anaelewa kuhusu wanyama wa pori kwa sababu:Question 2