naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 25

Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi. Tina amepika chakula. Chakula ___na Tina.

From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

25. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi. Tina amepika chakula.
Chakula _________________________na Tina.

  1. Akimepikia
  2. Bkimepikwa

Answer

B. kimepikwa

Kitendo kinapofanyiwa kitu tunatumia -wa: chakula kimepikwa na Tina.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test