CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 29
Umefika katika kituo cha basi. Kabla ya kuingia garini, kondakta amekukumbusha uvae barakoa, utamwambiaje?
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maneno ya Heshima
29. Umefika katika kituo cha basi. Kabla ya kuingia garini, kondakta amekukumbusha uvae barakoa, utamwambiaje?
- Akaribu
- Basante
- Chongera
Answer
B. asante
Tunasema "asante" mtu anapotusaidia au kutukumbusha jambo jema.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Umemtembelea rafiki yako ambaye ni mgonjwa. Je, utatamka neno gani kuonyesha unavyohisi?Question 30
- Wanafunzi wa Gredi ya nne walizuru mbuga gani ya wanyama?Question 1
- Mwelekezi anaelewa kuhusu wanyama wa pori kwa sababu:Question 2
- Je, unafikiri wanafunzi wa Gredi ya nne waliporudi shuleni walifanya nini?Question 3
- Ni nini maana ya neno tulizuru kulingana na kifungu?Question 4
- Ili kuishi vyema tunafaa kuzingatia nini?Question 5