CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 27
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi. Sara anaandika insha ___rafiki yake anafuta ubao.
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viunganishi
27. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi.
Sara anaandika insha ______________rafiki yake anafuta ubao.
- Alakini
- Bwala
Answer
A. lakini
"Lakini" huunganisha mawazo mawili tofauti. "Wala" hutumika katika sentensi za kukanusha.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno moja kukamilisha sentensi ifuatayo. ___ vimenunuliwa.Question 28
- Umefika katika kituo cha basi. Kabla ya kuingia garini, kondakta amekukumbusha uvae barakoa, utamwambiaje?Question 29
- Umemtembelea rafiki yako ambaye ni mgonjwa. Je, utatamka neno gani kuonyesha unavyohisi?Question 30
- Wanafunzi wa Gredi ya nne walizuru mbuga gani ya wanyama?Question 1
- Mwelekezi anaelewa kuhusu wanyama wa pori kwa sababu:Question 2
- Je, unafikiri wanafunzi wa Gredi ya nne waliporudi shuleni walifanya nini?Question 3