CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 24
Tazama picha hii. Mpapai nilioupanda umekuwa ___ kama twiga.
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

24. Tazama picha hii.
Mpapai nilioupanda umekuwa _________ kama twiga.
Answer
mrefu
Twiga ni mnyama mrefu sana, kwa hivyo tunasema "mrefu kama twiga". Mpapai ni ngeli ya U-I, hivyo mrefu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi. Tina amepika chakula. Chakula ___na Tina.Question 25
- Jaza nafasi. Fuata mfano ulio kwenye jedwali. Ninasoma kitabu sasa. → Sisomi kitabu sasa Alicheza mpira jana. → ___Question 26
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi. Sara anaandika insha ___rafiki yake anafuta ubao.Question 27
- Chagua neno moja kukamilisha sentensi ifuatayo. ___ vimenunuliwa.Question 28
- Umefika katika kituo cha basi. Kabla ya kuingia garini, kondakta amekukumbusha uvae barakoa, utamwambiaje?Question 29
- Umemtembelea rafiki yako ambaye ni mgonjwa. Je, utatamka neno gani kuonyesha unavyohisi?Question 30