CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 23
Andika wingi wa sentensi: Mgeni amefika kwangu leo.
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
23. Andika wingi wa sentensi:
Mgeni amefika kwangu leo.
Answer
Wageni wamefika kwetu leo.
Mgeni → wageni, amefika → wamefika, kwangu → kwetu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Tazama picha hii. Mpapai nilioupanda umekuwa ___ kama twiga.Question 24
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi. Tina amepika chakula. Chakula ___na Tina.Question 25
- Jaza nafasi. Fuata mfano ulio kwenye jedwali. Ninasoma kitabu sasa. → Sisomi kitabu sasa Alicheza mpira jana. → ___Question 26
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi. Sara anaandika insha ___rafiki yake anafuta ubao.Question 27
- Chagua neno moja kukamilisha sentensi ifuatayo. ___ vimenunuliwa.Question 28
- Umefika katika kituo cha basi. Kabla ya kuingia garini, kondakta amekukumbusha uvae barakoa, utamwambiaje?Question 29