CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 22
Nina mipira mitatu. Kila mpira umeandikwa aina mbalimbali za maneno. Chagua mpira ambao una vitenzi pekee.
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
22. Nina mipira mitatu. Kila mpira umeandikwa aina mbalimbali za maneno.
Chagua mpira ambao una vitenzi pekee.
- AMpira A: lima, ita, ruka
- BMpira B: yai, kiti, simu
- CMpira C: safi, mweupe, bora
Answer
A. Mpira A: lima, ita, ruka
Lima, ita na ruka ni vitendo (vitenzi). Yai, kiti na simu ni nomino; safi, mweupe na bora ni vivumishi.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Andika wingi wa sentensi: Mgeni amefika kwangu leo.Question 23
- Tazama picha hii. Mpapai nilioupanda umekuwa ___ kama twiga.Question 24
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi. Tina amepika chakula. Chakula ___na Tina.Question 25
- Jaza nafasi. Fuata mfano ulio kwenye jedwali. Ninasoma kitabu sasa. → Sisomi kitabu sasa Alicheza mpira jana. → ___Question 26
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi. Sara anaandika insha ___rafiki yake anafuta ubao.Question 27
- Chagua neno moja kukamilisha sentensi ifuatayo. ___ vimenunuliwa.Question 28