CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 19
Hassan amempata mama yake sebuleni asubuhi akamwamkua, "Shikamoo mama." Je, mama alimjibu vipi?
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maamkuzi na Maagano
19. Hassan amempata mama yake sebuleni asubuhi akamwamkua, "Shikamoo mama."
Je, mama alimjibu vipi?
Answer
Marahaba
Jibu la "Shikamoo" ni "Marahaba".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Jedwali hili lina maneno katika hali mbalimbali. Chagua neno lililo katika hali ya ukubwa.Question 20
- Tazama picha hii. Maua yako kando ya runinga. Paka yuko ___Meza.Question 21
- Nina mipira mitatu. Kila mpira umeandikwa aina mbalimbali za maneno. Chagua mpira ambao una vitenzi pekee.Question 22
- Andika wingi wa sentensi: Mgeni amefika kwangu leo.Question 23
- Tazama picha hii. Mpapai nilioupanda umekuwa ___ kama twiga.Question 24
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi. Tina amepika chakula. Chakula ___na Tina.Question 25