CBC Grade 4 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 18
Jaza nafasi kwa kutumia kiambishi cha wakati kinachofaa. Jana Koros alisafisha chumba chake. Sasa hivi a___fua nguo zake.
From Kiswahili — KPSEA School Based Assessment 2025 (Set 11) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
18. Jaza nafasi kwa kutumia kiambishi cha wakati kinachofaa.
Jana Koros alisafisha chumba chake. Sasa hivi a____fua nguo zake.
Answer
anafua
"Sasa hivi" ni wakati uliopo, kwa hivyo tunatumia -na-: anafua.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Hassan amempata mama yake sebuleni asubuhi akamwamkua, "Shikamoo mama." Je, mama alimjibu vipi?Question 19
- Jedwali hili lina maneno katika hali mbalimbali. Chagua neno lililo katika hali ya ukubwa.Question 20
- Tazama picha hii. Maua yako kando ya runinga. Paka yuko ___Meza.Question 21
- Nina mipira mitatu. Kila mpira umeandikwa aina mbalimbali za maneno. Chagua mpira ambao una vitenzi pekee.Question 22
- Andika wingi wa sentensi: Mgeni amefika kwangu leo.Question 23
- Tazama picha hii. Mpapai nilioupanda umekuwa ___ kama twiga.Question 24