CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025: Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4)
Kiswahili — Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4) · Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 37 questions
Topics: Kusoma, Kuandika, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Fasihi.
All 37 questions with answers
- Question 1: (a) Ni vipi ushirikiano wa kimataifa unavyoweza kusaidia katika kupambana na ugaidi? (alama 1)Answer: Mataifa hubadilishana taarifa, rasilimali na mikakati ya kukabiliana na ugaidi.
- Question 2: (b) Ni vipi elimu inaweza kutumika katika kukabiliana na itikadi kali? (alama 1)Answer: Kuielimisha jamii kuhusu madhara ya ugaidi na itikadi kali ili watu wazikatae.
- Question 3: (c) Kwa nini ni muhimu kuzingatia haki za binadamu wakati wa kupambana na ugaidi? (alama 2)Answer: Kwa sababu hatuwezi kufikia amani kwa kukiuka haki za binadamu; hatua dhidi ya ugaidi hazipaswi kudhulumu…
- Question 4: (d) Ni hatua gani za sera za kiuchumi na kijamii zinazoweza kusaidia katika kuzuia vijana kujiunga na itikadi kali? (alama 2)Answer: Kutoa fursa za ajira, elimu bora na huduma za kijamii.
- Question 5: (e) Ni nini umuhimu wa kujenga jamii yenye amani na yenye ushirikiano katika kukabiliana na ugaidi? (alama 1)Answer: Jamii imara yenye amani hushirikiana kuzuia na kukabili tishio la ugaidi.
- Question 6: (a) Ni kwa nini matumizi ya dawa za kulevya yalikuwa tatizo kubwa katika kijiji cha Jua Langu? (alama 2)Answer: Yalikuwa yakiharibu vijana na familia zao kwa kasi isiyo ya kawaida, kila kona ya kijiji.
- Question 7: (b) Ni nani aliyekuwa kiongozi wa kundi la vijana katika hadithi? (alama 1)Answer: Juma.
- Question 8: (c) Ni hatua gani zilizochukuliwa na jamii ya Jua Langu kupambana na matumizi ya dawa za kulevya?(alama 2)Answer: Walianzisha mipango ya kuwaelimisha vijana na kufungua vituo vya msaada na ushauri.
- Question 9: (d) Nani alikuwa mstari wa mbele katika kupigana dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya katika hadithi? (alama 1)Answer: Fatma, mama yake Juma.
- Question 10: (e) Juma alifanikiwa vipi baada ya kupata msaada na ushauri? (alama 2)Answer: Aliacha dawa za kulevya, akarejea kwenye njia sahihi na akawa mshiriki muhimu katika harakati dhidi ya dawa…
- Question 11: Bi. Zawadi na Bw. John walitoka kijiji kipi? (ala 1)Answer: Kijiji chao cha kiasili.
- Question 12: Ukitumia maneno yasiyozidi arubaini, andika hoja muhimu katika kifungu hiki. (ala 4)Answer: Harusi ya Bi. Zawadi na Bw. John ilifana kijijini. Wakaazi walisherehekea kwa nyimbo na vyakula vya jadi.…
- Question 13: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 1.Answer: A. Mrefu
- Question 14: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 2.Answer: C. letu
- Question 15: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 3.Answer: B. chini ya
- Question 16: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 4.Answer: D. na
- Question 17: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 5.Answer: A. la
- Question 18: SEHEMU 3: (alama 10) 6. Tumia kivumishi cha sifa kujaza pengo hii. Kitabu ... kilinunuliwa jana.Answer: Kitabu kizuri kilinunuliwa jana.
- Question 19: Andika sentensi hii kwa wingi. Ua langu linang'aa sana.Answer: Maua yangu yanang'aa sana.
- Question 20: Unganisha sentensi hizi ziwe katika kauli ya kutendeana. Dorea anapikia kalulu chakula Kalulu anapikia dorea chakulaAnswer: Dorea na Kalulu wanapikiana chakula.
- Question 21: Andika sentensi ifuatayo huku ukitumia kinyume cha neno lililopigiwa msatari. Mbwa mkali amefungwa kwa kamba.Answer: Mbwa mpole amefungwa kwa kamba.
- Question 22: Andika sentensi hii upya ukitumia -nge ya masharti. Hamkututembelea , hatukuwapokea kwa shangwe.Answer: Mngetutembelea tungewapokea kwa shangwe.
- Question 23: Ukubwa wa neno jiwe ni ...Answer: Jijiwe.
- Question 24: Akifisha sentensi ifuatayo. bi zuhura aliwahimiza wanafunzi wafanye kazi kwa bidiiAnswer: Bi. Zuhura aliwahimiza wanafunzi wafanye kazi kwa bidii.
- Question 25: Jibu sahihi ya salamu buriani ni gani?Answer: Buriani dawa.
- Question 26: Kamilisha sentensi ifuatayo ukitumia kirejeshi –amba Nchi ... zina raia wazalendo hutuzwa kila mwaka.Answer: Nchi ambazo zina raia wazalendo hutuzwa kila mwaka.
- Question 27: Kanusha sentensi ifuatayo. Ukikuja tutaenda kanisani.Answer: Usipokuja hatutaenda kanisani.
- Question 28: (a) Shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti huitwa?(alama 1)Answer: Tarbia.
- Question 29: (b) Andika vina vya nje na vya kati vya mshororo wa mwisho katika ubeti wa mwisho.(alama 2)Answer: Kina cha kati: -wa (sawa); kina cha nje: -sha (maisha).
- Question 30: (c) Kamilisha sentensi: Watoto ni hazina, ...(alama 1)Answer: thamani isiyopimika kwa maneno.
- Question 31: (d) Kulingana na mwandishi wa shairi hili, watoto wanaonekana kama nini kwenye ulimwengu wa kisasa. (alama 2)Answer: Kama zawadi, nuru na hazina.
- Question 32: (e) Ujumbe kuu unaojitokeza kwenye shairi hili ni gani? (alama 2)Answer: Watoto wote ni sawa na wana haki sawa; tuwapende na kuwathamini.
- Question 33: (a) Sungura Kibiriti alikuwa na sifa gani muhimu? (alama 1)Answer: Alikuwa mjanja mwenye busara na akili nyingi.
- Question 34: (b) Tatizo kuu lililowakumba wanyama porini lilikuwa nini? (alama 2)Answer: Ukame mkali: maji yalipungua na chakula kikawa kigumu kupatikana.
- Question 35: (c) Sungura Kibiriti alitumia mbinu gani kutatua tatizo la ukame? (alama 1)Answer: Aliwaongoza wanyama hadi kisima kirefu na kupanga njia ya kuchota maji kwa mianzi.
- Question 36: (d) Marafiki wa Sungura Kibiriti walikuwa akina nani na walimsaidiaje? (alama 2)Answer: Simba Mkali na Tembo Mkubwa; walimsaidia kutekeleza mpango wa kuchota maji kwa mianzi.
- Question 37: (e) Somo kuu tunaloweza kujifunza kutoka kwenye hadithi hii ni nini? (alama 1)Answer: Busara na ushirikiano husaidia kutatua matatizo makubwa.