CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 19
Andika sentensi hii kwa wingi. Ua langu linang'aa sana.
From Kiswahili — Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
7. Andika sentensi hii kwa wingi.
Ua langu linang'aa sana.
Answer
Maua yangu yanang'aa sana.
Ua – maua; langu – yangu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Unganisha sentensi hizi ziwe katika kauli ya kutendeana. Dorea anapikia kalulu chakula Kalulu anapikia dorea chakulaQuestion 20
- Andika sentensi ifuatayo huku ukitumia kinyume cha neno lililopigiwa msatari. Mbwa mkali amefungwa kwa kamba.Question 21
- Andika sentensi hii upya ukitumia -nge ya masharti. Hamkututembelea , hatukuwapokea kwa shangwe.Question 22
- Ukubwa wa neno jiwe ni ...Question 23
- Akifisha sentensi ifuatayo. bi zuhura aliwahimiza wanafunzi wafanye kazi kwa bidiiQuestion 24
- Jibu sahihi ya salamu buriani ni gani?Question 25