CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 22
Andika sentensi hii upya ukitumia -nge ya masharti. Hamkututembelea , hatukuwapokea kwa shangwe.
From Kiswahili — Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Masharti
10. Andika sentensi hii upya ukitumia -nge ya masharti.
Hamkututembelea , hatukuwapokea kwa shangwe.
Answer
Mngetutembelea tungewapokea kwa shangwe.
-nge kwenye vitenzi vyote viwili.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ukubwa wa neno jiwe ni ...Question 23
- Akifisha sentensi ifuatayo. bi zuhura aliwahimiza wanafunzi wafanye kazi kwa bidiiQuestion 24
- Jibu sahihi ya salamu buriani ni gani?Question 25
- Kamilisha sentensi ifuatayo ukitumia kirejeshi –amba Nchi ... zina raia wazalendo hutuzwa kila mwaka.Question 26
- Kanusha sentensi ifuatayo. Ukikuja tutaenda kanisani.Question 27
- (a) Shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti huitwa?(alama 1)Question 28