CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 26
Kamilisha sentensi ifuatayo ukitumia kirejeshi –amba Nchi ... zina raia wazalendo hutuzwa kila mwaka.
From Kiswahili — Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Amba-
14. Kamilisha sentensi ifuatayo ukitumia kirejeshi –amba
Nchi .......................................... zina raia wazalendo hutuzwa kila mwaka.
Answer
Nchi ambazo zina raia wazalendo hutuzwa kila mwaka.
Nchi (wingi, I-ZI) – ambazo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi ifuatayo. Ukikuja tutaenda kanisani.Question 27
- (a) Shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti huitwa?(alama 1)Question 28
- (b) Andika vina vya nje na vya kati vya mshororo wa mwisho katika ubeti wa mwisho.(alama 2)Question 29
- (c) Kamilisha sentensi: Watoto ni hazina, ...(alama 1)Question 30
- (d) Kulingana na mwandishi wa shairi hili, watoto wanaonekana kama nini kwenye ulimwengu wa kisasa. (alama 2)Question 31
- (e) Ujumbe kuu unaojitokeza kwenye shairi hili ni gani? (alama 2)Question 32