CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 24
Akifisha sentensi ifuatayo. bi zuhura aliwahimiza wanafunzi wafanye kazi kwa bidii
From Kiswahili — Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uakifishaji
12. Akifisha sentensi ifuatayo.
bi zuhura aliwahimiza wanafunzi wafanye kazi kwa bidii
Answer
Bi. Zuhura aliwahimiza wanafunzi wafanye kazi kwa bidii.
Herufi kubwa, nukta.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Jibu sahihi ya salamu buriani ni gani?Question 25
- Kamilisha sentensi ifuatayo ukitumia kirejeshi –amba Nchi ... zina raia wazalendo hutuzwa kila mwaka.Question 26
- Kanusha sentensi ifuatayo. Ukikuja tutaenda kanisani.Question 27
- (a) Shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti huitwa?(alama 1)Question 28
- (b) Andika vina vya nje na vya kati vya mshororo wa mwisho katika ubeti wa mwisho.(alama 2)Question 29
- (c) Kamilisha sentensi: Watoto ni hazina, ...(alama 1)Question 30