CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 20
Unganisha sentensi hizi ziwe katika kauli ya kutendeana. Dorea anapikia kalulu chakula Kalulu anapikia dorea chakula
From Kiswahili — Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
8. Unganisha sentensi hizi ziwe katika kauli ya kutendeana.
Dorea anapikia kalulu chakula
Kalulu anapikia dorea chakula
Answer
Dorea na Kalulu wanapikiana chakula.
Kutendeana: -ana.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi ifuatayo huku ukitumia kinyume cha neno lililopigiwa msatari. Mbwa mkali amefungwa kwa kamba.Question 21
- Andika sentensi hii upya ukitumia -nge ya masharti. Hamkututembelea , hatukuwapokea kwa shangwe.Question 22
- Ukubwa wa neno jiwe ni ...Question 23
- Akifisha sentensi ifuatayo. bi zuhura aliwahimiza wanafunzi wafanye kazi kwa bidiiQuestion 24
- Jibu sahihi ya salamu buriani ni gani?Question 25
- Kamilisha sentensi ifuatayo ukitumia kirejeshi –amba Nchi ... zina raia wazalendo hutuzwa kila mwaka.Question 26