CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 13
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 1.
From Kiswahili — Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
SEHEMU 2: SARUFI
Jibu swali la 1 hadi 5 ukitumia jibu sahihi. (alama 5)
Wakati jua linapochomoza juu ya mlima ___1____, wanafunzi wa darasa ___2___ walikusanyika ___3___ mti mzuri. Walikuwa na hamu ya kusikiliza mafundisho ya mwalimu wao, wakijawa na matumaini ya kuelimika zaidi. Wakati mwalimu alianza kufundisha, furaha ___4___ utulivu ulijaa katika mioyo yao, kama vile maua yanavyofungua milango yake kwa jua ____5___ asubuhi.
1. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 1.
- AMrefu
- Bndefu
- Cmirefu
- Ddefu
Answer
A. Mrefu
Mlima (ngeli ya U-I, umoja) – mlima mrefu.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 2.Question 14
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 3.Question 15
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 4.Question 16
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 5.Question 17
- SEHEMU 3: (alama 10) 6. Tumia kivumishi cha sifa kujaza pengo hii. Kitabu ... kilinunuliwa jana.Question 18
- Andika sentensi hii kwa wingi. Ua langu linang'aa sana.Question 19