CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 14
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 2.
From Kiswahili — Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
SEHEMU 2: SARUFI
Jibu swali la 1 hadi 5 ukitumia jibu sahihi. (alama 5)
Wakati jua linapochomoza juu ya mlima ___1____, wanafunzi wa darasa ___2___ walikusanyika ___3___ mti mzuri. Walikuwa na hamu ya kusikiliza mafundisho ya mwalimu wao, wakijawa na matumaini ya kuelimika zaidi. Wakati mwalimu alianza kufundisha, furaha ___4___ utulivu ulijaa katika mioyo yao, kama vile maua yanavyofungua milango yake kwa jua ____5___ asubuhi.
2. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 2.
- Azetu
- Byetu
- Cletu
- Dwetu
Answer
C. letu
Darasa (ngeli ya LI-YA) – darasa letu.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 3.Question 15
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 4.Question 16
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 5.Question 17
- SEHEMU 3: (alama 10) 6. Tumia kivumishi cha sifa kujaza pengo hii. Kitabu ... kilinunuliwa jana.Question 18
- Andika sentensi hii kwa wingi. Ua langu linang'aa sana.Question 19
- Unganisha sentensi hizi ziwe katika kauli ya kutendeana. Dorea anapikia kalulu chakula Kalulu anapikia dorea chakulaQuestion 20