naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 17

Chagua jibu sahihi kujaza pengo 5.

From Kiswahili — Mid Term Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

SEHEMU 2: SARUFI
Jibu swali la 1 hadi 5 ukitumia jibu sahihi. (alama 5)
Wakati jua linapochomoza juu ya mlima ___1____, wanafunzi wa darasa ___2___ walikusanyika ___3___ mti mzuri. Walikuwa na hamu ya kusikiliza mafundisho ya mwalimu wao, wakijawa na matumaini ya kuelimika zaidi. Wakati mwalimu alianza kufundisha, furaha ___4___ utulivu ulijaa katika mioyo yao, kama vile maua yanavyofungua milango yake kwa jua ____5___ asubuhi.

5. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 5.

  1. Ala
  2. Bza
  3. Cya
  4. Dcha

Answer

A. la

Jua (ngeli ya LI-YA) – jua la asubuhi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test