CBC Grade 7 Kiswahili End Term 2 Exam 2026: Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14)
Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14) · Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14) · 51 questions
Topics: Kusoma, Kuandika, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kusikiliza na Kuzungumza.
All 51 questions with answers
- Question 1: Ni hatua ipi kuu iliyochukuliwa na Kamishna Sofia Kazi kuboresha usalama?Answer: C. Kuweka kamera za ulinzi na kushirikisha jamii
- Question 2: Kwa nini Omari anaamini usalama umeimarika?Answer: C. Watu wanafanya shughuli zao bila hofu
- Question 3: Mpango wa “Jirani Mlinzi” unalenga nini?Answer: B. Kushirikisha jamii katika kulinda usalama
- Question 4: Ni huduma gani hutolewa kwa wanawake na watoto?Answer: B. Msaada wa kisheria na ushauri
- Question 5: Polisi wanashirikiana vipi na wananchi?Answer: C. Kutumia teknolojia na miradi ya kijamii
- Question 6: Kwa mujibu wa kifungu, usalama wa jiji la Mwanga umeimarika kutokana na nini?Answer: B. Ushirikiano kati ya polisi na jamii
- Question 7: Ni ipi kauli sahihi kuhusu jiji la Mwanga?Answer: C. Lina amani na maendeleo
- Question 8: Kwa nini watoto wanalindwa zaidi?Answer: C. Ili kuwalinda dhidi ya hatari na ukatili
- Question 9: Usalama unafanikiwa vipi kulingana na kifungu?Answer: D. Ushirikiano wa serikali, polisi na wananchi
- Question 10: Ni faida gani kuu ya juhudi hizi kwa jiji la Mwanga?Answer: C. Kuimarika kwa uchumi na amani
- Question 11: Ni changamoto gani kuu iliyokuwa ikikikabili Kijiji cha Mwangaza?Answer: C. Kutegemea kuni na mkaa kwa matumizi ya kila siku.
- Question 12: Ni nani aliyetajwa kuchukua hatua za kuboresha matumizi ya nishati katika kijiji hicho?Answer: A. Mama Halima na Kassim.
- Question 13: Kassim alichangiaje katika juhudi za kuboresha nishati kijijini?Answer: B. Alieleza jinsi ya kutumia paneli za sola na majiko ya gesi.
- Question 14: Ni faida gani kuu zilizotokana na matumizi ya nishati safi katika kijiji cha Mwangaza?Answer: A. Kupungua kwa moshi na ukataji miti ovyo.
- Question 15: Mama Halima alihamasisha kundi gani kuhusu matumizi ya nishati safi?Answer: B. Akina mama.
- Question 16: Ni msaada gani uliochangia upatikanaji wa vifaa vya nishati safi kwa familia?Answer: A. Misaada ya serikali ya kata na mashirika ya mazingira.
- Question 17: Kwa mujibu wa kifungu, nishati safi iliathirije maisha ya wanawake na watoto?Answer: B. Kuwapatia muda zaidi kwa shughuli za maendeleo na kusoma usiku.
- Question 18: Kijiji cha Mwangaza kilipata sifa gani baada ya kutumia nishati safi? KilikuwaAnswer: B. ishara ya maendeleo na mshikamano wa jamii
- Question 19: Chagua jibu lenye jina la mteja ambaye hununua maembe mara mbili kwa wiki.Answer: B. Baraka
- Question 20: Matunda gani yanauzwa kwa wingi siku ya Ijumaa?Answer: B. Machungwa
- Question 21: Chagua jibu lenye siku ambayo kila mteja wa Bwana Juma hununua tunda linalotofautiana na la wenzake.Answer: C. Jumatano
- Question 22: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 21.Answer: A. Je
- Question 23: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 22.Answer: C. hazina
- Question 24: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 23.Answer: B. Anayefanya mambo bila mpangilio hupata matokeo mabaya.
- Question 25: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 24.Answer: A. Vema
- Question 26: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 25.Answer: B. Kaza buti.
- Question 27: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 26.Answer: A. imeweza
- Question 28: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 27.Answer: C. huwezesha
- Question 29: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 28.Answer: B. huboresha
- Question 30: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.Answer: C. maeneo
- Question 31: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 30.Answer: C. hurahisisha
- Question 32: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.Answer: A. kuleta
- Question 33: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 32.Answer: B. uvujaji
- Question 34: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 33.Answer: B. tahadhari
- Question 35: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.Answer: A. inapaswa
- Question 36: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.Answer: D. kupata
- Question 37: Chagua jibu mwafaka katika Maswali 36 hadi 50. 36. Kanusha sentensi hii. Angewatii wazazi angepata baraka zao.Answer: D. Asingewatii wazazi asingepata baraka zao.
- Question 38: Mtu akikwambia ‘karibu tule’ nawe utamjibu,Answer: B. ahsante
- Question 39: Chagua nomino zilizo katika ngeli ya U-YA.Answer: C. ulezi, ugonjwa.
- Question 40: Msemo upi una maana ya kupata maendeleo mazuri?Answer: B. Kupiga hatua.
- Question 41: Badili katika usemi wa taarifa. “Wageni wetu watawasili kesho,” baba alisema.Answer: D. Baba alisema kuwa wageni wetu wangewasili siku ambayo ingefuata.
- Question 42: Andika katika kauli ya kutendwa. Dada alikivunja chungu cha mama.Answer: C. Chungu cha mama kilivunjwa na dada.
- Question 43: Chagua maelezo yaliyo sahihi.Answer: C. Tarbia ni shairi lenye mishororo minne katika ubeti.
- Question 44: Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Answer: C. Kumbe, yeye ndiye aliyekusaidia?
- Question 45: Tambua aina za maneno ‘yote’ na ‘barabarani’ katika sentensi ifuatayo: Magari yote yalikwama barabarani.Answer: C. Kivumishi, kielezi.
- Question 46: Ni jawabu lipi linaloonyesha nomino za aina moja pekee?Answer: D. Maisha, maji, maua.
- Question 47: Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo. Mkeka mpya umeuzwa tena bila idhini.Answer: C. mpya
- Question 48: Kisawe cha ‘ajuza’ niAnswer: D. bikizee.
- Question 49: Chagua maelezo sahihi.Answer: A. Nukta pacha hutumiwa kabla ya kutaja mifano ya vitu.
- Question 50: Ni sentensi ipi isiyoonyesha kauli ya kutendeka?Answer: B. Mgonjwa ametapika baada ya kumeza dawa.
- Question 51: Andika wingi wa sentensi hii. Ufagio ulinunuliwa sokoni.Answer: C. Fagio zilinunuliwa masokoni.