CBC Grade 7 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 44
Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Alama za Uakifishaji
43. Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.
- AWanafunzi wangu -hasa wa kike- wanalipenda somo la Kiswahili.
- BMama, alipofika alituletea; matunda na mboga.
- CKumbe, yeye ndiye aliyekusaidia?
- DJe? Ukikimbizwa na simba utafanya nini!
Answer
C. Kumbe, yeye ndiye aliyekusaidia?
“Kumbe,” hufuatwa na koma na sentensi ni swali, hivyo inaishia kwa kiulizo. B ina koma na nukta mkato zisizohitajika, na D imebadilisha kiulizo na alama ya hisi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Tambua aina za maneno ‘yote’ na ‘barabarani’ katika sentensi ifuatayo: Magari yote yalikwama barabarani.Question 45
- Ni jawabu lipi linaloonyesha nomino za aina moja pekee?Question 46
- Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo. Mkeka mpya umeuzwa tena bila idhini.Question 47
- Kisawe cha ‘ajuza’ niQuestion 48
- Chagua maelezo sahihi.Question 49
- Ni sentensi ipi isiyoonyesha kauli ya kutendeka?Question 50