naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 49

Chagua maelezo sahihi.

From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Alama za Uakifishaji

48. Chagua maelezo sahihi.

  1. ANukta pacha hutumiwa kabla ya kutaja mifano ya vitu.
  2. BMabano hutumiwa kunukuu maneno ya usemi halisi.
  3. CKoloni hutumiwa baada ya kutoa orodha.
  4. DKoma hutumiwa katikati ya kila sentensi.

Answer

A. Nukta pacha hutumiwa kabla ya kutaja mifano ya vitu.

Nukta pacha (koloni) huwekwa kabla ya orodha au mifano, si baada yake. Maneno ya usemi halisi hunukuliwa kwa alama za kunukuu, si mabano.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test