CBC Grade 7 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 45
Tambua aina za maneno ‘yote’ na ‘barabarani’ katika sentensi ifuatayo: Magari yote yalikwama barabarani.
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
44. Tambua aina za maneno ‘yote’ na ‘barabarani’ katika sentensi ifuatayo:
Magari yote yalikwama barabarani.
- AKiwakilishi, nomino.
- BKivumishi, kiwakilishi.
- CKivumishi, kielezi.
- DNomino, kielezi.
Answer
C. Kivumishi, kielezi.
‘Yote’ inaeleza magari (ni kivumishi), na ‘barabarani’ inaeleza mahali yalipokwama (ni kielezi cha mahali).
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni jawabu lipi linaloonyesha nomino za aina moja pekee?Question 46
- Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo. Mkeka mpya umeuzwa tena bila idhini.Question 47
- Kisawe cha ‘ajuza’ niQuestion 48
- Chagua maelezo sahihi.Question 49
- Ni sentensi ipi isiyoonyesha kauli ya kutendeka?Question 50
- Andika wingi wa sentensi hii. Ufagio ulinunuliwa sokoni.Question 51