CBC Grade 7 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 43
Chagua maelezo yaliyo sahihi.
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi
42. Chagua maelezo yaliyo sahihi.
- ATathlitha ni shairi lenye beti tatu.
- BTathnia ni kipande cha pili cha mshororo.
- CTarbia ni shairi lenye mishororo minne katika ubeti.
- DMizani ni silabi zinazofanana katika ubeti.
Answer
C. Tarbia ni shairi lenye mishororo minne katika ubeti.
Tarbia ina mishororo minne katika kila ubeti. Tathlitha ina mishororo mitatu katika ubeti, tathnia ina mishororo miwili, na mizani ni idadi ya silabi katika mshororo (silabi zinazofanana ni vina).
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 44
- Tambua aina za maneno ‘yote’ na ‘barabarani’ katika sentensi ifuatayo: Magari yote yalikwama barabarani.Question 45
- Ni jawabu lipi linaloonyesha nomino za aina moja pekee?Question 46
- Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo. Mkeka mpya umeuzwa tena bila idhini.Question 47
- Kisawe cha ‘ajuza’ niQuestion 48
- Chagua maelezo sahihi.Question 49