CBC Grade 7 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 39
Chagua nomino zilizo katika ngeli ya U-YA.
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
38. Chagua nomino zilizo katika ngeli ya U-YA.
- Augomvi, uyoga.
- Buti, ubongo.
- Culezi, ugonjwa.
- Dubele, ufito.
Answer
C. ulezi, ugonjwa.
Ulezi huwa malezi na ugonjwa huwa magonjwa katika wingi (u- kwa umoja, ma- kwa wingi): ngeli ya U-YA.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Msemo upi una maana ya kupata maendeleo mazuri?Question 40
- Badili katika usemi wa taarifa. “Wageni wetu watawasili kesho,” baba alisema.Question 41
- Andika katika kauli ya kutendwa. Dada alikivunja chungu cha mama.Question 42
- Chagua maelezo yaliyo sahihi.Question 43
- Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 44
- Tambua aina za maneno ‘yote’ na ‘barabarani’ katika sentensi ifuatayo: Magari yote yalikwama barabarani.Question 45