CBC Grade 7 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 41
Badili katika usemi wa taarifa. “Wageni wetu watawasili kesho,” baba alisema.
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi Halisi na wa Taarifa
40. Badili katika usemi wa taarifa.
“Wageni wetu watawasili kesho,” baba alisema.
- ABaba amesema kuwa wageni wetu wangewasili kesho.
- BBaba angesema kuwa wageni wetu watawasili kesho.
- CBaba anasema kuwa wageni wetu watawasili siku ifuatayo.
- DBaba alisema kuwa wageni wetu wangewasili siku ambayo ingefuata.
Answer
D. Baba alisema kuwa wageni wetu wangewasili siku ambayo ingefuata.
Katika usemi wa taarifa, alisema hubaki, -ta- huwa -nge- (watawasili → wangewasili) na kesho huwa siku ambayo ingefuata.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Andika katika kauli ya kutendwa. Dada alikivunja chungu cha mama.Question 42
- Chagua maelezo yaliyo sahihi.Question 43
- Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 44
- Tambua aina za maneno ‘yote’ na ‘barabarani’ katika sentensi ifuatayo: Magari yote yalikwama barabarani.Question 45
- Ni jawabu lipi linaloonyesha nomino za aina moja pekee?Question 46
- Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo. Mkeka mpya umeuzwa tena bila idhini.Question 47