CBC Grade 7 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 40
Msemo upi una maana ya kupata maendeleo mazuri?
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali na Nahau
39. Msemo upi una maana ya kupata maendeleo mazuri?
- AKujikaza kisabuni.
- BKupiga hatua.
- CKuenda shoti.
- DKuenda segemnege.
Answer
B. Kupiga hatua.
Kupiga hatua ni kupata maendeleo. Kujikaza kisabuni ni kujitahidi, kuenda shoti ni kwenda mbio, na kuenda segemnege ni kwenda kwa kuyumbayumba.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Badili katika usemi wa taarifa. “Wageni wetu watawasili kesho,” baba alisema.Question 41
- Andika katika kauli ya kutendwa. Dada alikivunja chungu cha mama.Question 42
- Chagua maelezo yaliyo sahihi.Question 43
- Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 44
- Tambua aina za maneno ‘yote’ na ‘barabarani’ katika sentensi ifuatayo: Magari yote yalikwama barabarani.Question 45
- Ni jawabu lipi linaloonyesha nomino za aina moja pekee?Question 46