CBC Grade 7 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 37
Chagua jibu mwafaka katika Maswali 36 hadi 50. 36. Kanusha sentensi hii. Angewatii wazazi angepata baraka zao.
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanusho wa Sentensi
Chagua jibu mwafaka katika Maswali 36 hadi 50.
36. Kanusha sentensi hii.
Angewatii wazazi angepata baraka zao.
- AHakuwatii wazazi wala kupata baraka zao.
- BAsipowatii wazazi hatapata baraka zao.
- CAsingaliwatii wazazi asingalipata baraka zao.
- DAsingewatii wazazi asingepata baraka zao.
Answer
D. Asingewatii wazazi asingepata baraka zao.
Hali ya -nge- hukanushwa kwa -singe-: angewatii → asingewatii, angepata → asingepata.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Mtu akikwambia ‘karibu tule’ nawe utamjibu,Question 38
- Chagua nomino zilizo katika ngeli ya U-YA.Question 39
- Msemo upi una maana ya kupata maendeleo mazuri?Question 40
- Badili katika usemi wa taarifa. “Wageni wetu watawasili kesho,” baba alisema.Question 41
- Andika katika kauli ya kutendwa. Dada alikivunja chungu cha mama.Question 42
- Chagua maelezo yaliyo sahihi.Question 43