CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026
Kiswahili — Term 3 Opener Exams 2026 · Term 3 Opener Exams 2026 · 37 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 37 questions with answers
- Question 1: SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Sungura alimuuliza chui kama amekunywa nini?Answer: Maji.
- Question 2: Pweza alikuwa atoe wapi maji?Answer: Baharini.
- Question 3: Binadamu yupi alikuwa anauza maji?Answer: Ng'wale.
- Question 4: Waliyanunua maji ya nani?Answer: Ya Kyando.
- Question 5: Maji ya Kyando yalikuwaje?Answer: Safi sana.
- Question 6: SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Jamii ni watu wanaoishi pamoja na kushirikiana katika shughuli mbalimbali. Wema hutengeneza jamii bora. Ni…
- Question 7: SEHEMU YA 3: UFAHAMU Ufahamu 1 1. Ni mwalimu yupi anafunza uraia na maadili katika shule iliyotajwa?Answer: Mwalimu Nyongesa
- Question 8: Hawa wanafunzi wanasomea shule gani?Answer: Msingi Bora
- Question 9: Taja wanafunzi walio na uwezo wa kuchora.Answer: Amina na Jalima
- Question 10: Sara na Musa wana kipaji cha kufanya nini?Answer: kuimba
- Question 11: Miami alisema kuwa angeweza kucheza mpira na nani?Answer: Zubera
- Question 12: Ufahamu 2 1. Rafiki yake Nuru ni ___.Answer: Natia
- Question 13: Watoto hawa wanasoma darasa gani?Answer: darasa la tatu
- Question 14: Nuru alimkuta mama yake Natia akiwa amelala wapi?Answer: barazani
- Question 15: Nani walimsaidia Nuru kumpeleka mama yake Natia hospitalini?Answer: majirani wawili
- Question 16: Mama yake Natia alipofika hospitalini alihudumiwa na nani?Answer: daktari
- Question 17: SEHEMU YA 4: SARUFI Soma kisha ujaze nafasi kwa kutumia maneno uliyopewa. (a)Answer: B. vyote
- Question 18: (b)Answer: C. viwanja
- Question 19: (c)Answer: D. vyoo
- Question 20: (d)Answer: A. kuvutia
- Question 21: (e)Answer: E. kupanda
- Question 22: Tunga sentensi ukitumia vifaa hivi vya shambani. a)Answer: Baba anatumia reki kukusanya takataka shambani.
- Question 23: b)Answer: Fundi anagonga msumari kwa nyundo.
- Question 24: c)Answer: Mkulima anafyeka nyasi kwa fyekeo.
- Question 25: Andika sentensi hizi kwa umoja a) Wao wataimba keshoAnswer: Yeye ataimba kesho.
- Question 26: b) Sisi tunapenda matundaAnswer: Mimi ninapenda tunda.
- Question 27: c) Vikombe vimeoshwaAnswer: Kikombe kimeoshwa.
- Question 28: Andika majina ya miezi na siku za wiki. a) Mwezi wa nneAnswer: Aprili
- Question 29: b) Mwezi wa 11Answer: Novemba
- Question 30: c) Siku ya tano ya wikiAnswer: Ijumaa
- Question 31: Andika kwa wakati ujao a) Yeye alianika nguoAnswer: Yeye ataanika nguo.
- Question 32: b) Barabara inaundwaAnswer: Barabara itaundwa.
- Question 33: c) Mwalimu alifunzaAnswer: Mwalimu atafunza.
- Question 34: Tumia alama ya (.) au (?) kukamilisha sentensi. a) Wewe watoka jimbo gani ___Answer: B. (?)
- Question 35: b) Tutakula wali jioni ___Answer: A. (.)
- Question 36: c) Parapanda italia lini ___Answer: B. (?)
- Question 37: SEHEMU YA 5: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu picha hii.Answer: Hii ni bendera ya Kenya. Bendera yetu ina rangi nne. Rangi hizo ni nyeusi, nyekundu, kijani na nyeupe.…