CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 37
SEHEMU YA 5: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu picha hii.
From Kiswahili — Term 3 Opener Exams 2026 · 10 marks · Topic: Kuandika, Kuandika Sentensi

SEHEMU YA 5: KUANDIKA
Andika sentensi tano kuhusu picha hii.
Answer
Hii ni bendera ya Kenya. Bendera yetu ina rangi nne. Rangi hizo ni nyeusi, nyekundu, kijani na nyeupe. Katikati kuna ngao na mikuki miwili. Tunaipandisha bendera shuleni kila Jumatatu.
Picha ni bendera ya Kenya. Andika sentensi tano kamili kuhusu bendera: rangi zake, ngao na mikuki, na tunapoipandisha.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Sungura alimuuliza chui kama amekunywa nini?Question 1
- Pweza alikuwa atoe wapi maji?Question 2
- Binadamu yupi alikuwa anauza maji?Question 3
- Waliyanunua maji ya nani?Question 4
- Maji ya Kyando yalikuwaje?Question 5
- SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Question 6