CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 11
Miami alisema kuwa angeweza kucheza mpira na nani?
From Kiswahili — Term 3 Opener Exams 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Ufahamu 1
Soma ufahamu huu kisha ujibu maswali.
Mwalimu Nyongesa anatufundisha uraia na maadili katika shule yetu ya Msingi Bora. Siku moja aliwataka wanafunzi wa darasa la tatu kueleza vipaji walivyonavyo. Kila mwanafunzi alipewa nafasi ya kujieleza. Amina na Jalima walisema kuwa wangeweza kuchora vizuri sana. Mwalimu aligundua Amina na Jalima ni hodari wa kuchora. Sara na Musa walijitokeza na kusema wangeweza kuimba vizuri sana. Miami na Zubera walisema kwamba wao wangeweza kucheza mpira wa miguu kwa ustadi. Hii ilimfahamisha Mwalimu Nyongesa kuwa wanafunzi wake walikuwa na vipaji tofauti. Baada ya hapo, aliweka mipango ya kukuza vipaji vya wanafunzi wake. Aliwasihi kila mmoja atie bidii katika kukuza kipaji alichokuwa nacho.
5. Miami alisema kuwa angeweza kucheza mpira na nani?
Answer
Zubera
Ufahamu unasema: Zubera.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Ufahamu 2 1. Rafiki yake Nuru ni ___.Question 12
- Watoto hawa wanasoma darasa gani?Question 13
- Nuru alimkuta mama yake Natia akiwa amelala wapi?Question 14
- Nani walimsaidia Nuru kumpeleka mama yake Natia hospitalini?Question 15
- Mama yake Natia alipofika hospitalini alihudumiwa na nani?Question 16
- SEHEMU YA 4: SARUFI Soma kisha ujaze nafasi kwa kutumia maneno uliyopewa. (a)Question 17