CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 17
SEHEMU YA 4: SARUFI Soma kisha ujaze nafasi kwa kutumia maneno uliyopewa. (a)
From Kiswahili — Term 3 Opener Exams 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Soma kisha ujaze nafasi kwa kutumia maneno uliyopewa.
Kuvutia · vyote · viwanja · vyoo · kupanda
Mazingira ya shule yanajumuisha vitu (a) __________ vilivyo katika eneo la shule. Vitu hivyo ni majengo, (b) ___________ vya michezo, bustani, miti na samani. Vitu vingine ni kama vile (c) _______________ na vingine vingi. Ili mazingira ya shule yako yapendeze na (d) ______________ inakupasa kuyatunza vizuri. Kila mwanafunzi anapaswa kutunza mazingira ya shule yake. Unatakiwa (e) ___________ miti na maua, kufanya usafi na kutupa takataka mahali panapostahili. Ni jukumu la kila mmoja kuchukua hatua ya kuzuia uchafuzi wa mazingira.
SEHEMU YA 4: SARUFI
Soma kisha ujaze nafasi kwa kutumia maneno uliyopewa.
(a)
- Akuvutia
- Bvyote
- Cviwanja
- Dvyoo
- Ekupanda
Answer
B. vyote
Sentensi kamili: vitu vyote vilivyo katika eneo la shule.