CBC Grade 3 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 20
(d)
From Kiswahili — Term 3 Opener Exams 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Soma kisha ujaze nafasi kwa kutumia maneno uliyopewa.
Kuvutia · vyote · viwanja · vyoo · kupanda
Mazingira ya shule yanajumuisha vitu (a) __________ vilivyo katika eneo la shule. Vitu hivyo ni majengo, (b) ___________ vya michezo, bustani, miti na samani. Vitu vingine ni kama vile (c) _______________ na vingine vingi. Ili mazingira ya shule yako yapendeze na (d) ______________ inakupasa kuyatunza vizuri. Kila mwanafunzi anapaswa kutunza mazingira ya shule yake. Unatakiwa (e) ___________ miti na maua, kufanya usafi na kutupa takataka mahali panapostahili. Ni jukumu la kila mmoja kuchukua hatua ya kuzuia uchafuzi wa mazingira.
(d)
- Akuvutia
- Bvyote
- Cviwanja
- Dvyoo
- Ekupanda
Answer
A. kuvutia
Sentensi kamili: yapendeze na kuvutia.